• Google Plus
  • Pinterest
  • Facebook
  • Twitter

NEWS

ONGEZEKO LA MCHANGO WA RIM


Published on: 24/09/2020

Kwa wanafunzi ambao wataripoti muhula mpya Novemba, mnatangaziwa kuwa kutakuwa na ongezeko la mchango wa Rim ya karatasi moja.

Hivyo, unapokuja kuripoti hakikisha umelipia nusu ya ada na michango, pamoja na Rim moja ya karatasi au Sh. 10,000/=

LIPIA HOSTEL SASA!


Published on: 16/09/2020

MALIPO YA HOSTEL

Wanafunzi wote wanaotarajia kuishi hostel, hakikisha unalipia mapema kabla ya kuripoti ili kujihakikishia nafasi ya kupata Hostel kwani nafasi ni chache.Malipo ya Hostel kwa mwaka ni Tsh. 400,000/= na inalipwa kwa mkupuo. Tafadhali fuata maelekezo yanayopatikana kwenye joining instructions kwa ajili ya kufanya malipo hayo.

Tangazo hili limetolewa na ofisi ya Mlezi wa wanafunzi

NEW: SELECTED APPLICANTS FOR PHARMACEUTICAL SCIENCES COURSE (CLICK HERE)

-

NEW: SELECTED APPLICANTS FOR CLINICAL MEDICINE COURSE (CLICK HERE)

APPLICATION IS OPEN


Published on: 15/06/2020

Apply now for September Intake 2020

St.Maximilliancolbe Health college welcomes all eligible students to apply for September intake. The window is open for all who finds an interest on:-

Technician Certificate / Ordinary Diploma in Pharmaceutical science course.

Technician Certificate / Ordinary Diploma in Clinical medicine course.

HOW TO APPLY:

For Application, Click Here and follow instructions or contact us:-

Executive Director - Ms Elizabeth Nkonyoka: +255755550335 au Email: stmaximilliancolbe@gmail.com

Upon submission, applicant must attach the following:-
- Certified certificate of Form IV certificate or Form IV result slip
- Certified copy of birth certificate or Form IV Leaving Certificate
- Result slip for payment of Application Form

The deadline for application is 25th September, 2020

Commencement:
The course will commence on 08th November, 2020.

INTRODUCTION NOTE

St. Maximilliancolbe Health College was established in 2015. We provide the most competent Health Education Education

Courses Offered: Certificate/Diploma in Pharmaceutical Sciences & Certificate/Diploma in Clinical Medicine

NTA Levels: 4, 5 & 6

Welcome

VYETI VYA ADDO VIPO TAYARI


Published on: 13/11/2019

Vyeti kwa wale waliosoma na kufaulu mafunzo ya utoaji dawa (ADDO) vimesainiwa na msajili wa baraza la famasi na vimeshaletwa chuoni kwa ajili ya kuvikabidhi kwa wahusika.

Kwa mwanafunzi aliyesoma na kufaulu mafunzo ya utoaji dawa yaliyofanyika February - April 2019 afike chuoni akiwa na kitambulisho cha utaifa, Nida au kitambulisho kingine cha kumtambulisha chenye picha yake ili aweze kuchukua cheti chake.

Vyeti vitaanza kutolewa kuanzia tarehe ya tangazo hili na kuendelea.

MICHEZO NI AFYA NA USHINDI NI FURAHA


Published on: 11/11/2019

TEAM YA STMAX IMEENDELEZA UBABE KWENYE MASHINDANO YA VYUO

Team ya mpira wa miguu ya St. Maximilliancolbe imefanikiwa kupata ushindi kwenye michezo yote iliyokwishacheza hatua ya makundi katika michuano ya vyuo inayosimamiwa na radio Uyui FM.

- Mechi ya kwanza STMAX 2 - 1 TPSC

- Mechi ya pili NYAMWEZI 1 - 2 STMAX

Mwitikio umekuwa ni mkubwa kwa wachezaji na washabiki wa mpira wa miguu chuoni ambapo hamasa imekuwa juu kuliko ilivyowahi kuwa. Shukrani kubwa kwa wachezaji, washabiki, makocha na walimu wa michezo.

Introduction

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKUTUBI (LIBRARIAN)


Published on: 02/11/2019

Part Time Librarian

Chuo cha St. Maximilliancolbe Health college kinapenda kutangaza nafasi za kazi ya Mkutubi ambae atafanya kazi ya ukutubi wa Part time. Awe raia wa Tanzania, Umri usiopungua miaka 21 na awe amesomea kozi ya Librarianship and Record Management ngazi ya Cheti au Diploma

Maombi yote yatumwe chuoni kwa Mkuu wa chuo:- Address: Ipuli - Mpela, S.L.P 905 TABORA

au Email: stmaximilliancolbe@gmail.com

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA UPISHI NA ULINZI


Published on: 02/10/2019

Mpishi (1) na Mlinzi (1)

Chuo cha St. Maximilliancolbe Health college kinapenda kutangaza nafasi za kazi ya Mpishi na Mlinzi. Sifa ni kuwa raia wa Tanzania, Umri usiopungua miaka 21 na Uzoefu wa mwaka mmoja na kuendelea.

- Mpishi awe kasomea kozi yoyote ya Upishi

- Mlinzi awe kapitia mafunzo ya Mgambo/JKT

Maombi yote yatumwe chuoni kwa Mkuu wa chuo:- Address: Ipuli - Mpela, S.L.P 905 TABORA

au Email: stmaximilliancolbe@gmail.com

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI


Published on: 05/09/2019

PHARMACIST (2 POSTS)

Chuo cha St. Maximilliancolbe Health College kinatangaza nafasi za kazi kwa wafamasia (Pharmacists) kwa ajili ya kufundisha masomo ya Pharmaceutical sciences ngazi za Certificate na Diploma.

Vigezo:

- Awe na bachelor degree ya Pharmacy.

- Awe na G.P.A ya kuanzia 3.5

- Awe tayari kufundisha masomo ya Pharmaceutical sciences ngazi ya diploma na Certificate

- Awe na umri usiozidi miaka 35.

PHARMACEUTICAL TECHNICIAN (2 POSTS)

Vigezo:

- Awe na Diploma ya Pharmacy.

- Awe na G.P.A ya kuanzia 3.5

- Awe tayari kufundisha masomo ya Pharmaceutical sciences ngazi ya diploma na Certificate

- Awe na umri usiozidi miaka 35.

* MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI 20/09/2019

* INTERVIEW ITAFANYIKA 23/09/2019 Katika Chuo cha St. Maximilliancolbe Health College, Ipuli - Tabora kuanzia saa 02:00 Asubuhi.

KUAHIRISHWA KWA MAFUNZO YA ADDO


Published on: 25/08/2019

MAFUNZO YA ADDO YAMEAHIRISHWA

Chuo cha St. Maximilliancolbe Health college kinapenda kuwatangazia wanafunzi wa mafunzo ya Utoaji Dawa (ADDO) waliofanyiwa usaili tarehe 15/07/2019 kuwa, mafunzo hayo yalipangwa kufanyika tarehe 26/08/2019 lakini kutokana na kutokamilika kwa maandalizi ya mafunzo, Pia kutopokea uthibitisho wa kuanza mafunzo hayo kutoka baraza la famasi, mafunzo hayo hayatoanza kwa tarehe iliyopangwa. Itaandaliwa tarehe nyingine ya kuanza mafunzo hayo na wanafunzi wote watapewa taarifa kwa njia ya SMS na simu.

IMPORTANT ANNOUNCEMENT


Published on: 02/05/2019

NAFASI ZA MASOMO 2019/2020 (September)

Chuo cha St. Maximilliancolbe Health college kinapenda kuwatangazia wote kuwa kwa sasa tunapokea maombi hya kujiunga na chuo kwa masomo yatakayoanza September kwa ngazi za Certificate na Diploma kwenye kada zifuatazo:

- Pharmaceutical sciences

- Clinical Medicine

Ili kujiunga tafadhali Click Hapa na ufuate maelekezo au tumia mawasiliano yafuatayo:-

Executive Director - Ms Elizabeth Nkonyoka: +255755550335 au Email: stmaximilliancolbe@gmail.com

APPLICATION IS OPEN


Published on: 01/04/2019

Apply now for September intake

St.Maximilliancolbe Health college welcomes all eligible students to apply for September intake. The window is open for all who finds an interest on:-

Technician Certificate in Pharmaceutical science course.

Ordinary Diploma in pharmaceutical science course.

Minimum entry Qualifications: -

The applicant must have four (4) passes in secondary education subjects including "D" pass in Chemistry and Biology and any other two "D" passes in any other subjects excluding the religious subjects.

THERE SHALL BE TWO MEANS OF APPLICATION

* ONLINE APPLICATION THROUGH: stmhc.ac.tz/applyonline

* PHYSICAL APPLICATION as explained below:

A dully filled Application form must be submitted through our email address: stmaximilliancolbe@gmail.com or through our Postal Address: P.O.BOX 905 TABORA or submit it directly to our college before deadline.

Upon submission, applicant must attach the following:-
- Certified certificate of Form IV certificate or Form IV result slip
- Certified copy of birth certificate or Form IV Leaving Certificate
- Result slip for payment of Application Form

The deadline for application is 05th September, 2019

Commencement:
The course will commence on 25th September, 2019.

Introduction


St. Maximilliancolbe Health College was established in 2015. We serve the best at providing Education in Health Courses. We offer the course of Technician Certificate in Pharmaceutical Science NTA Level 5 We have enough infrastructures to support the students' learning, accommodation and social activities. Each year, our students sit for the Ministry of Health Exams. The previous results show that 100% of the students at STMHC have passed while none has failed the Ministry exams. Our Proud team of teachers and Administrators make sure the college gives out the best students at the Field of Pharmacy. All students who graduated from STMHC have been hired in various Pharmacy, Hospitals while others are self-employed.

 

Our Vision


To be a leader in training, developing and supporting people to become highly qualified medical professionals to serve for the society health needs


Our Mission


To provide exceptional health education and provide support for health related studies and researches with state of the art facilities to cast for the society health and needs

MARCH INTAKE


Published on: 28/01/2019

Apply now for March intake

St.Maximilliancolbe Health college welcomes all eligible students to apply for this March intake. The window is open for all who finds an interest on:-

Technician Certificate in Pharmaceutical science course.

Ordinary Diploma in pharmaceutical science course.Minimum entry Qualifications: -

The applicant must have four (4) passes in secondary education subjects including "D" pass in Chemistry and Biology and any other two "D" passes in any other subjects excluding the religious subjects.

A dully filled Application form must be submitted through our email address: stmaximilliancolbe@gmail.com or principal@stmhc.ac.tz or through our Postal Address: P.O.BOX 905 TABORA or submit it directly to our college before deadline.

Upon submission, applicant must attach the following:-
- Certified certificate of Form IV certificate or Form IV result slip
- Certified copy of birth certificate or Form IV Leaving Certificate

The deadline for application is 26th February  2019

Commencement:
The course will commence on 05th March, 2019.

REPORTING OF STUDENTS


Published on: 24/09/2018

It is A Reporting Period for Certificate Students

Students admitted for September intake are now reporting for studies which will commence on 1st October 2018

Principal advices all students who are selected for Technician certificate in Pharmaceutical sciences course to report early so that they wont miss much of the Orientation and Studies

 

Tangazo la mafunzo ya ADDO na umiliki wa Duka la Dawa


Published on: 01/09/2018

Chuo cha St.Maximilliancolbe Health College kinapenda kuwatangazia wakazi wote wa Tabora na Mikoa ya jirani kuwa Mafunzo ya Utoaji dawa ya ADDO na mafunzo ya umilikiwa duka la Dawa yataanza kutolewa mapema mwezi ujao. Kwa walio na utayari wa kupata mafunzo hayo, wafike chuoni kwa ajili ya kujaza fomu na kujiandikisha.

Mafunzo haya ni muhimu kwani yatamwezesha mtu mwenye taaluma ya afya isiyo ya Pharmacy awe na uwezo wa kuuza au kutoa dawa katika duka la dawa au Pharmacy. Pia kwa mwenye mpango wa kumiliki duka la Dawa muhimu, ni lazima apate mafunzo kwa mujibu wa utaratibu wa baraza la Famasi Tanzania.

Nyote mnakaribishwa